Baada ya kuanza mashindano rasmi huko njiani mambo yalikuwa
hivi. Eneo la Kwembago na Maguzoni
speed ilikuwa kubwa sana kwa washiriki. kwani wengi walikuwa wakishangiliwa humo njiani kwa vigelegele. Mashindano haya ni kitu kipya sana katika mazingira haya. Lugha
ya kisambaa ilitumika sana kuwatia moyo washiriki. kama Vile KIHIME TATE, TATE
KANAZA NGWANANGU, NDIMA SHIYO nk Kwa kiswahili Kihime- Jitahidi,Tate -Baba ,kazana Jitahidi, Ng'wanangu-Mwanangu,Ndima Shiyo-Kazi hiyo).Ili kuwa burdani kubwa kwa wengi hata kuacha kazi zao kwa masaa kadhaa ya mpambano huo. Ona hapa...................
kazi zilisimama kwa muda katika eneo la maguzoni!!
Nipisheni!!!!
| Safi sana umshindi no....... Hongera!!!!! |
Hoi..................Niacheni kwanza nipate upepo
Nishangilieni basi..................!!
Tunawasili kwa furaha
Nami nimo .............!!!
Mungu mkubwa nimemaliza salama...
Jinyooshe tafadhali......
Askari Polisi akimsaidia mshindi wa Kwanza wanawake baada ya kumaliza mbio.
Nimeumia lakini nakamata Laptop yangu Mungu asante.
Mshindi wa pili wanawake akizungumza na mtangazaji wa Utume redio>
Baiskeli zikiwa zimehifadhiwa baada ya mashindano ili kumpa nafasi mshindi kuchagua anayotaka.