KARIBU KATIKA UFUNGUZI WA TAMASHA LA MICHEZO INAYOSIMAMIWA NA YMCA-YWCA LUSHOTO
Tamasha la Michezo lilifunguliwa
rasmi na Mchungaji Edward Msocha
ambaye ni Msaidizi wa Mkuu wa Dinary ya Kusini
ya DKMs – KKKT
Akitoa salam zake kwa
vijana akiwaasa Vijana kutumia michezo hii kwa ukamilifu kwa kuitumia ,
kuendeleza amani ya nchi yetu ya Tanzania. Aidha amewataka vijana kutotumiwa na wakubwa wa
kisiasa au wajinsi yoyote kufanya vurugu za aina yoyote mahali walipo. Vijana
wakitumia Kauli mbio ya isemayo YOUTH
PEACEMAKERS ( VIJANA WALETA AMANI). Naye mgeni rasmi akitumia neno ShaloomAmani iwe nawe ,iwe nanyi.......
 |
| Waiendesha Baiskeli
wakiwa tayari kwa ufunguzi. |
 |
| Wanamichezo wakimsikilza mgeni Rasmi |
 |
| Taifa la kesho nao walishiriki................!! |
 |
| Kwenye Mstari..............Kaa tayari................Go.............!! |
Ufunguzi wa
riadha ukifanya na wajumbe wa Bodi na mtumisha Bw.P.Jally
 |
| Hongera mzee Mwakatobe..................!!! |