Thursday, September 25, 2014

HISTORIA YA SANAA ZA JUKWAANI YA ANDIKWA

Usiku wa tar 23 Septemba 2014 Historia mpya ya shughuli za Sanaa za Jukwaani chini YMCA-YWCA Lushoto imeandikwa ambapo Waigizaji kutoka Kanda mbili walionyesha umahiri wao.
Kanda ya Bumbuli kwa kucheza Lap kuhusu Suala la Ukimwi kwa wanafunzi  na Kanda Tanga Kucheza  igizo juu ya madhara ya Wazazi kutotilia maanani masuala ya elimu kwa watoto wao.
Meneja Miradi Bw. P.Jally akitoa matangazo mafupi kabla ya Maigizo

Kijana aliyeathiriwa na madawa ya kulevya baada ya kushindwa shule
Binti aliyepata Ujauzito Baada y kushindwa na Shule.
Vijana wenye maisha bora baada kumaliza shule vizuri

Binti akitaka kujiua kwa kujichoma kisu tumboni.
 
Jamii ikiweka mipango ya kuwasidia na kuwanasihi.....!!


Jamii ikiwasaidia.............!!.......Mwisho

Wanamichezo wakicheza Wimbo wa Rose Muhando Utamu wa Yesu

No comments:

Post a Comment