Wednesday, September 24, 2014

SHUGHULI YA UZINDUZI KWA PICHA

Hapa tukio kwa tukio siku ya kwanza ya michezo. Ambapo mechi ya awali ni Netball kati ya kanda ya Mlalo na Wenyeji Kanda ya Lushoto. Mpira wa Miguu hali kadhalika ni Kanda ya Mlalo na Kanda ya Lushoto.Ona hapa....................


 





 

Mgeni rasmi akikagua timu za Netball kabala ya Mechi
Mpambano wenyewe.......................!!!
 

Kazi kwako refarii................!!

Mgeni rasmi akikagua Timu za Mpira wa Miguu




Michezo amani tusaidieni kutunza nidhamu ya mchezo.....!!!
 
Sala kabla .....................!!

No comments:

Post a Comment