Wednesday, September 24, 2014

UFUNGUZI WA TAMASHA


KARIBU KATIKA UFUNGUZI WA TAMASHA LA MICHEZO INAYOSIMAMIWA NA YMCA-YWCA LUSHOTO



Tamasha la Michezo lilifunguliwa rasmi na Mchungaji Edward Msocha 
ambaye ni Msaidizi wa Mkuu wa Dinary ya Kusini ya DKMs – KKKT
Akitoa salam zake kwa vijana akiwaasa Vijana kutumia michezo hii kwa ukamilifu kwa kuitumia , kuendeleza amani ya nchi yetu ya Tanzania. Aidha amewataka vijana kutotumiwa na wakubwa wa kisiasa au wajinsi yoyote kufanya vurugu za aina yoyote mahali walipo. Vijana wakitumia Kauli mbio ya isemayo YOUTH PEACEMAKERS ( VIJANA WALETA AMANI). Naye mgeni rasmi akitumia neno ShaloomAmani iwe nawe ,iwe nanyi.......

Waiendesha Baiskeli wakiwa tayari kwa ufunguzi.

 

Wanamichezo wakimsikilza mgeni Rasmi
Taifa la kesho nao walishiriki................!!

 

  
Kwenye Mstari..............Kaa tayari................Go.............!!

 Ufunguzi wa riadha ukifanya na wajumbe wa Bodi na mtumisha Bw.P.Jally

Hongera mzee Mwakatobe..................!!!

No comments:

Post a Comment