Monday, October 7, 2013

RIADHA

Mratibu aliwakumbusha vijana kutumia mazingira yetu ya milima ya Lushoto kujinoa na kujiimarisha binafsi kwa mazoezi ya mbio ili kujiweka sawa kwa mashindano makubwa yajayo.

Imependeza sana vijana walijitokeza katika mchezo wa riadha kwa nguvu sana hata wengine
hawakuwa na mazoezi lakini waliamua kujaribu bahati zao na wakaweza.


 Tumejitahidi tuoneni sisi hapa!!!
 Nimejitahidi sana kutimua mbio ngoja nipoe hapa!!!


RIADHA MITA 100 NA 2000
 Kwenye mstari....kaa tayari .................... Goooo...............!!





 Twende kazi !!!
 Hashindwi mtu hapa!!!


Hata kama sio rasmi nioneni nami..... jitahidi dada....

No comments:

Post a Comment