MASHINDANO
YA BAISKELI LUSHOTO
26TH
OCTOBER 2013
Mnakaribishwa wote katika
mashindano ya baiskeli yanayojulikana kama
TOUR de LUSHOTO
Yatakayofanyika tar 26
October 2013 kuanzia viwanja vya michezo Lushoto
Sabasaba- Ghana-Kwesimu-Kwembago-Maguzoni-IJA Ghana –Sabasaba. Umbali wa KM13
(Kumi na Tatu).
Muda wa kuanza ni saa 1.00 asubuhi
Muda wa kuanza ni saa 1.00 asubuhi
Wote wanaohitaji kushiriki
wajiandikishe katika ofisi yetu ya YMCA-YWCA Lushoto au simu 0715919103
Kila mshiriki atapewa Baiskeli
ya kufanyia mashindano maadam awe na kitambulisho kinachokubalika Kiserikali
(kama Leseni ya udereva au Kitambulisho cha
upigaji kura au kadi ya benki au mdhamana anayekubalika.
ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA
MSHINDI WA KWANZA, PILI NA TATU.
KARIBU SANA.

No comments:
Post a Comment