Hii sura ya mwisho vijana wakipongezana kwa shamra shamra
wakati wa kufunga Tamasha la michezo pamoja na Sala ya shukrani kwa Mungu kumaliza salama.
Asante Mungu wetu katika Jina la Yesu Kristo....
Sala ya shukrani baada ya mashindano kumalizika salama.
Ni letu Ni letu.Kombe........................!!!
Sisi ndio sisi Lushoto(watoto wa Mjini)
Tumelipata kombe wadada wa Mlalo na Ngwelo.Haya bwana..................
MAMBO YA MISOSI NA MADIKODIKO!!!
Ajali!!!!!
KITAMU NA SODA !! Mmmmmm!!!!!!!!!!
TUSUBIRI TATAFIKA!!!
No comments:
Post a Comment