Monday, October 7, 2013

TAMASHA LA MICHEZO LUSHOTO

Mchakamchaka wa michezo kwa vijana wa wilaya ya Lushoto umewaweka vijana wengi katika furaha kubwa  kama alivyokiri mshiriki mmoja kutoka Mlalo kuwa Mungu ni mwema tumeosha hapa SEKOMU katika michezo ya YMCA.
Mlalo kumekucha Bwana!!!!!!! Si Unaona
Mbona raha!!!!!



Tumeosha  na sisi
pooz la waamuzi Hili hapa!!

No comments:

Post a Comment